malaika maana yake ni mjumbe wa Mungu hana jinsia, anaweza kuwa katika mwili au la. Neno kuzimu limeandikwa mara 73, na kwa namna nyingine limeandikwa kama shimoni mara 41. Maadui kulekule wanakokupoleka ilikukutendea mabaya, ndo huko huko unaenda kukutana na BWANA. Kweli...
Maombi haya yana uwezo wa kuleta matokeo makubwa Kwenye maisha ya mtu. Kwa kawaida mtu anapotenda uovu, Mungu huwa anapanga kuleta uovu juu ya mtu huyo, hata Kama Mungu alikuwa anakupenda, au amekutumia kwa kiasi gani, unapotenda uovu Mungu anakawaida ya kuruhusu mabaya ya...
Lolote baya au zuri haliwezi kukupata bila taarifa. Mungu ni Mungu wa taarifa hawezi kukupa kitu au jambo bila hukupa taarifa kwanza. Amosi 3:7 “Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.” Kama unamtumaini Mungu afanye jam...
This site was designed with Websites.co.in - Website Builder
We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!
Have a great day!
Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support