KANISA LA UKOMBOZI WA NAFSI

Kujifunza neno la Mungu kuvunja madhabahu kuvunja Roho za mizimu kungoa roho za kichawi pamoja nakuangamiza uganga kutoa ushauri mbalimbali nakutangaza biashara yako hapa

Kanisa la ukombozi wa nafsi Arusha Tanzania lipo chini ya mtume william msak kanisa lipo Arusha kwa morombo Mungu ni mkuu sana ufanya mambo makubwa sana katika kanisa ili pia Mtumishi wa Mungu Mtume William msak Mungu Anamtumia sana kuvunja laana za Ukoo kuvunja Roho za Madhabahu kutoa mapepo kushika wachawi nakungoa mazindiko ya kichawi Napia Mungu Anamtumia kuvunja Roho za uganga kutoa uchawi kuvunja roho za mizimu n.k # Wote mnakaribishwa katika Ibada zetu za kila Jumanne Alahamisi Ijumaa na Jumapil PIA kwa mawasiliano zaidi Tuandikie Ujumbe kwanjia ya Whatsapp Number +255655668218 Au Email: prophetofgod24@gmail.com Au Blog http://prophetofgodarushatz.blogspot.com Au sanduku la posta P.O.Box 13748 Arusha Tanzania Wellcome 

New Arrivals

Add our new arrivals to your weekly line-up.

Browse Products

Prophet Of God

service

From The Blog

View All Posts

barikiwa sana

barikiwa sanaView more on Facebook

KUZIKATA NIRA ZA KICHAWI

Maombi haya ni kwa ajili ya wale ambao wanataka au wanatamani kujiondoa kwenye maagano ya Uharibifu, au maagano na nguvu za giza. Maa...

MAOMBI YA IMANI

MAOMBI Kila mzimu, jinni, pepo uliyechukua nyota yangu, uso wangu, utawala wangu, tumbo langu, akili yangu naamuru teketea kwajina la...

Tamka maneno haya na ukiri kufanikiwa

Ukiri  Kwa jina la Yesu nakataa mahali popote kitu changu chochote kinapotumiwa na shetani. Naamuru miguu, biashara, akili, na maisha...

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support

;