Ukiri Kwa jina la Yesu nakataa mahali popote kitu changu chochote kinapotumiwa na shetani. Naamuru miguu, biashara, akili, na maisha yako yaliyowekwa kwenye madhdbahu ya kishetani katika jina la Yesu. Na mashetani wote mlioniweka hama kwajina la yesu, toka katika jina la...
Ili kurudisha roho yake itoke shimoni, Ili atiwe mwanga kwa mwanga wa walio hai. Ayubu 33:30, Kwa namna hii inaonesha kuwa hata kama mambo yanaweza kupelekwa shimoni bado yanaweza kurudishwa toka shimoni. Kuna mashimo madogo madogo, na binadamu hawezi kufanya kitu chochot...
Utajiuliza kwanini ufundishwe malaika wa kuzimu na sio malaika wa Mungu?Inashangaza sana kuona malaika kutoka mbinguni anaufunguo na wa kuzimu na akafungua mlango wa kuzimu moshi wa shimoni ukatanda juu ya anga . Abadoni maana yake mharibifu-mharabu. Hivyo kazi yake ni kuh...
This site was designed with Websites.co.in - Website Builder
We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!
Have a great day!
Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support