Ukiri
Kwa jina la Yesu nakataa mahali popote kitu changu chochote kinapotumiwa na shetani. Naamuru miguu, biashara, akili, na maisha yako yaliyowekwa kwenye madhdbahu ya kishetani katika jina la Yesu. Na mashetani wote mlioniweka hama kwajina la yesu, toka katika jina la yesu.Kuanzia sasa chochote kila kilichowekwa kwenye shimo nakirudisha katika jina la Yesu.
Kwa damu ya yesu, macho yangu, moyo wangu kinywa changu, nyota ya kazi, nyota ya umahiri, utawala, ndugu wa karibu, aliyeiba nyota ya maisha yangu teketea kwa jina la Yesu. Nyota yangu njoo kwa jina la Yesu. Nyota ya kupendwa njoo kwa jina la Yesu, nyota ya ndoa, safari, uso, njoo kuanza leo. Nawaamuru muondoke leo kwa jina la Yesu . Amina.