MAOMBI
Kila mzimu, jinni, pepo uliyechukua nyota yangu, uso wangu, utawala wangu, tumbo langu, akili yangu naamuru teketea kwajina la Yesu. Kila maisha bandia, maishs yasiyoyangu naamuru kazi za kichawi juu yangu ziteketee kwa jina la Yesu. Natangaza vita kwa jina la yesu. Kwa jina la yesu mahali popote ambapo nyota ya maisha yangu, kazi yangu au uso wangu umechukuliwa na kuwekwa kwenye mashimo ya kichawi rudisha leo kwa jina la yesu, rudisha uso, rudisha ndoa, rudisha tumbo kwa jina la Yesu.
Kwa jina la yesu mtu yeyote aliyechukua chochote cha maishs yangu, naamuru akili yangu, afya yangu, kazi yangu
Yawezekana hujui kama ungekua zaidi ya ulivyo leo na bahati mbaya hujui kama umeibiwa, umetekwa, au kiungo chako kama kimeibiwa naamuru mashetsni wadhdihirike na akujulikana katika jina la yesu. Naamuru moto wa BWANA uwake na ujue kuwa umeibiwa na kila kilichoibiwa kirudishwe leo katika jina la Yesu.
Nakataa kwa jina la Yesu. Kuanzia leo nazima moto wa shimoni, uliowashwa kinyume na afya yangu kinyume na uzima wangu kwa jina la laYesu. Kwa jina la Yesu ninazima moto wa shimoni uliowaka kinyume na maisha yangu, naamuru kuanzia sasa jini kutoka baharini namuwasha kwa moto wa Mungu.Mzimu wa ukoo, uliotumwa kuniua kabla ya wakati wangu kamba za mauti katika kwa jina la yesu. Kamba za mauti katika kwa jiana la Yesu.
Kwa damu ya mwana kondoo narudi kwenye asili yangu. Nakataa asili ya kishetani nilivishwa na wachawi. Narudi kwenye asili yangu kwa jina la yesu. Kila uchawi na ushsirikina uliopandwa kwenye famila yetu naurudisha kwa damu ya ya Yesu. Narudisha moyo wangu, ndoa yangu kwa damu ya Yesu, narudisha akili yangu iliyoibiwa na mashetani walionijia wakati niko usingizini, naamuru kuanzia sasa asili bandia rudi ulikotoka kwa jina la Yesu. Narudi kwenye asili yangu asili ya afya asili ya Baraka, asili ya ndoa, asili ya huduma, asili ua amani, asili ya amani, asili ya mafanikio katika jina la Yesu. Imeandikwa nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng’e, nakanyaga kila adui aliyeniibia asilis yangu kwa jina la yesu.narudi kwenye asili yangu leo asili ya utawala, asilis yautajiri, asili ya kupambanua katika jina la yesu. Kila moyo ulioibiwa, tumbo lililoibiwa, ufahamu, kazi, ndoa kino famila iliyoibiwa achia kwa jina la yesu
nnoo kwa jina la yesu, naamuru uso wangu nnjoo kwa jina la yesu.naamuru koto war oho mtakatifu uwake uteketeze kila aliyeshikilia maishs yangu, famila yangu kazi yangu nyota yangu, huduma yangu afya yangu, hatiama yangu huduma yangu katia jina la yesu. Naamuru kila kilichooharika ndani ya maisha Yangu kiwekizima sasa katika jina la Yesu. Miguu iliyowekwa kwenye viwanja vya wachawi naamuru irudishwe katika jina la yesu. Kuanzia leo uwe mwanzo wa ushindi katika jina la Yesu.